cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haswaaaaaah hapo sasa.Alichofanya Halima Mdee hakina tofaiti kimaendeleo ya vitu na alichofanya Mwigulu, Ndugai, Mwakyembe, Makamba, Nape, Majaliwa. Atleasr Halima alionesha kwa vitendo kuyataka maendeleo halisi na kupigania haki na utawala bora. Hata hivyo wana kawe wa Mwenge, Masaki, Mikocheni O-bay hawana shida ya barabara maji wala umeme. Shida yao ni haki, uhuru, demokrasia