Tunapouliza Halima Mdee kafanya nini Kawe kwa Miaka yake 10 tujiulize na Sisi kwa 'Kujipendekeza' Kwetu kwa Mamlaka kama 'Wadau' kumetusaidia nini?

Haswaaaaaah hapo sasa.
 
..wakati Makonda na Hapi wanampiga vita, kumhujumu, na kumtukana Halima Mdee, watu walitegemea nini?

..mimi kwa maoni yangu jimbo la Kawe limekwama kwa sababu Raisi aliteua mkuu wa mkoa, na wakuu wa wilaya, waliotumia muda mwingi kutaka kuionyesha jamii kwamba wabunge toka vyama vya upinzani hawafai.
 
Paskali njaa, huu uzi umenichekesha sana, umenikumbusha lipigo cha wajumbe alichopata Paskali
 
Ameulizwa kwanza " Halima anakusanya Kodi?" mbona simple tu...Au hujasikia ya Musoma Jana kutoka kwa authority iliyotukuka.
 
Nasubiri kusikia umepigwa ngumi. Ukweli mtupu
 
Ahaaaa. Kwa hiyo ulitaka diwani afanye kazi ya mbunge? Dc na mkuu wa mkoa pia? Mbunge anashinda mahakamani kesi za kipuuzi zinamuandama!
 
Ahaaaa. Kwa hiyo ulitaka diwani afanye kazi ya mbunge? Dc na mkuu wa mkoa pia? Mbunge anashinda mahakamani kesi za kipuuzi zinamuandama!

Mwaka una siku 365, je alikuwa mahakamani zaidi ya siku 60 kwa hizo siku 365? Au ukisikia anashinda mahakamani na ww unarudiarudia hilo neno kama bendera fuata upepo?
 
Mwaka una siku 365, je alikuwa mahakamani zaidi ya siku 60 kwa hizo siku 365? Au ukisikia anashinda mahakamani na ww unarudiarudia hilo neno kama bendera fuata upepo?
Ok fine, hizo siku alipokuwa free alishindwa nini kuwatumikia wana kawe?
 
Pascal Mayalla unaulizwa huku mafanikio yako ni yapi ?

Ok fine, hizo siku alipokuwa free alishindwa nini kuwatumikia wana kawe?

Hivi unajua unachokiongea au unajipitisha pitisha kwenye post za wanaume hapa jukwaani? Umesema hajawatumikia wananchi maana alikuwa anashinda mahakamani, nikakuonyesha kuwa ww ni kichwa nazi kwa kukutajia siku za mwaka kisha utoe mwenyewe. Saa hii unasema kwanini hajawatumikia siku alizokuwa free? Kama ulishikiwa akili kwa kuambiwa alikuwa anashinda mahakamani, utashindwa kushikiwa kwa kuambiwa kuwa hajawatumikia wana kawe?
 
Wewe tindo nae ni mwanaume? Acha kunitisha, tena usinitishe. Kama aliwatumikia wana kawe ungejibu swali alilouliza Mayalla. Kama aliwatumikia wana Kawe mbona Gwajima alichimba visima.
Wewe ndio bichwa maji, kama alitumikia wananchi ulipaswa useme,tena with vivid evidence. Sio kuleta hasira baada ya kuona hali ni mbaya.
 
Kaa kwa kutulia dogo, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
 
Kaa kwa kutulia dogo, huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani.
Wewe mwenye siasa hai ziko wapi? Umesikia Halima anatema jimbo unajihalishia kama una kipindupindu. Unadhania Ccm ni taasisi ya wauza mbege? Wewe una siasa gani hai?
Nakuambia mambo yote ambayo tulikuwa tunabishana hapa jukwaani utakuja kuona majibu yake.
Mosi Jimbo la Kawe lazima lirudi CCM
Pili, Chadema itafutika kwenye siasa za Tanzania baada ya Oktoba 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…