Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa!

Sina mengi kwa leo
 
Mbona inaeleweka? Kama kuna anayebisha ajaribu kupingana na cwt ataona nguvu kubwa ilizonazo. Halafu si cwt pekee hata vyama vingine vya wafanyakazi vina elementi za serikali ndani yake
 
cha ajabu ni wote wamekataa yani wameshauriana ujinga...... UNATEULIWA UNAKATAAAA??????
 
Back
Top Bottom