Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Nilidhani ni upper levels mkuu ndiyo maana sikuwa nimeelewa kabisaMtu anakwambia anafundisha kiswahili na math, alafu unauliza alipiga combi gani A level. Si ungejiongeza tu kuwa huyu Ni wale walimu wa shule ya Msingi walioishia form four.