Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Labda kuna uozo wanataka kuuziba kwanza?Sasa kwanini wamekataa...wamelogwa nini?
Au wanahofu wakiacha nafasi zao waliokuwa washindani wao watazichukuwa?
Aidha, nafasi ya U-DC ulaji mdogo ikilinganishwa na nafasi walizonazo hapo CWT?
Huenda kweli kuna mzito anawatumia kujinufaisha hapo CWT hivyo kawagomea wasitoke?
Yumkini ni hawana utashi wakutumikia katika nafasi hiyo ya U-DC?
Tuseme wanapingana na mamlaka ya uteuzi wao kama CWT?
Lakini kwanini iwe kwa wote watatu what a coincidence?