Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa!
Sina mengi kwa leo
Walioteuliwa wamekataa teuziAngalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa!
Sina mengi kwa leo
Na hapo ndo mtihani,jamaa kagoma banaWalioteuliwa wamekataa teuzi
Wapate Wote Ili Asubuhi Waache Kufundisha Wawe Wanaperuzi Na KudadisiMkuu tulia kwanza walimu wapate vishikwambi.
Tunapata ziada za masomo through Google...sivyo utufikiriavyo.siyo wote tulikuwa na simu kupyatila mkuu,hakika Samia kaupiga mwingi🤗Wapate Wote Ili Asubuhi Waache Kufundisha Wawe Wanaperuzi Na Kudadisi
Facebook , Instagram, Twitter, Badoo, Tinder, Telegram, WhatsApp, Signal, We Chat
Japhet.. ni snitch leo kanisnitch kinyamaNa wamekataa teuzi Ili waendelee kutunyonya walimu....Samia mama,,please CWT ichunguzwe tunaliwa
Kwahiyo UnaperuziTunapata ziada za masomo through Google...sivyo utufikiriavyo.siyo wote tulikuwa na simu kupyatila mkuu,hakika Samia kaupiga mwingi🤗
MbeyaKwahiyo Unaperuzi
Unafundisha Wapi
Mwalimu Serikali Mwezi February Itaanza Kutoa MB Kwaajili Ya Vishkwambi Vyote TanzaniaMbeya
🤣🤣🤣🤣Tuache bhanaMwalimu Serikali Mwezi February Itaanza Kutoa MB Kwaajili Ya Vishkwambi Vyote Tanzania
Mtapata Raha Sana Walimu🤣🤣🤣🤣Tuache bhana
Vuta Subira Kidogo Tu Utaona Vumbi Litakalowatimkia Hawataamini Macho YaoSasa kwanini wamekataa...wamelogwa nini?
For sure..ni dharau ya hali juu..nangojea angukoVuta Subira Kidogo Tu Utaona Vumbi Litakaliwatimkia Hawataamini Macho Yao
Hao Watapelekwa Jeshini Inaitwa Quick Match Mpaka Ulimi Uje Nje.....For sure..ni dharau ya hali juu..nangojea anguko
Hahaha sipati pikcha aiseeHao Watapelekwa Jeshini Inaitwa Quick Match Mpaka Ulimi Uje Nje.....