Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

Mtu anakwambia anafundisha kiswahili na math, alafu unauliza alipiga combi gani A level. Si ungejiongeza tu kuwa huyu Ni wale walimu wa shule ya Msingi walioishia form four.
Nilidhani ni upper levels mkuu ndiyo maana sikuwa nimeelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…