Tunapozidiwa hadi na nchi zenye watu laki 3 kwenye Olympics

Wanamichezo tunao wengi tu, kutokana na mchanganyiko wetu, hatuwezi kukosa Wanariadha, warusha tufe na mkuki, team za volleyball nk
Ndugu yetu Malaika Mihambo ameshinda gold medal leo japokuwa anaiwakilisha German ila hii inaonyesha kuwa tuna damu za michezo ndani yetu
 


Aibu sana
 
Wakiongeza kipengele cha umbea hakika hatutokosa.
 
Kila mafanikio yanahitaji uwekezaji, China wana shule za kufundisha watoto michezo kuanzia miaka mitano. Waliwekeza katika hili baada ya kugundua gold medals kwenye mashindano ni tija kwa Taifa.
Hizo shule zikianzishwa kina mwigulu watawapeleka watoto wao,mijinga imekaba kila idara,kuna kipindi timu 1 ya epl iliingia mkataba wa kufundisha watoto pale jk park,walijaa watoto wa kiarabu na watoto wa vigogo,nchi ya ajabu sana hiyo
 
bora umeniwahi maana nilikuwa nakuja na page nne zilizo shiba
 
Tunabana matumizi ya safari za nje bado.
 
Ni moja ya indications kuwa tunafeli, tunarudi nyuma. Nchi inaporudi nyuma inakuwa inafail kwenye maeneo mbalimbali.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo nchi ndogo Kama kata ya olasiti pale Arusha inatutoa KO?
 
Waziri wa michezo ni kada wa chama unatarajia zaidi ya kutetea ugali wake anajipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…