Tunapozidiwa hadi na nchi zenye watu laki 3 kwenye Olympics

Tunapozidiwa hadi na nchi zenye watu laki 3 kwenye Olympics

Tuna tatizo kubwa la kimkakati linaloanzia kwenye Taifa mpaka hizi ngazi za chini kiuongozi, huwezi kuamini kuna watu ni viongozi miaka rudi nenda na bado ukifika uchaguzi wanachaguliwa tena ili hali hakuna walichofanya muda wao wa uongozi,.
Ili tuweze kusonga mbele tunatakiwa kuwa na shule za michezo kuanzia primary na kuendelea hapo tunaweza kupiga hatua. Yaani kwasasa viongozi wapo ofisini wakisubiri mtu ajitume mwenyewe afanye mazoezi aonekene na wadau kisha wao ndio wanaenda kumdandia na kumpeleka kwenye mashindano.
Michezo ni starehe na starehe ni gharama. Uwekezaji kwenye michezo ni lazima
Nalog off
 
Back
Top Bottom