Shanley
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 389
- 167
- Thread starter
- #221
Mkuu Karibuu sana.Mkuu madhani hizo picha za watu ungeweka kwa idhini yao ila kazi nzuri nakuwa mteja wako muda wowote
Nimefanya kazi na watu wengi tu na wengine wako humu sijapost hata picha zao huku, nikitaka kupost huwa namuomba mteja coz najua huku ni Media nyingine tofauti na zilizo zoeleka.