INAUZWA Tunaprint picha mbao na picha saa

INAUZWA Tunaprint picha mbao na picha saa

Mkuu madhani hizo picha za watu ungeweka kwa idhini yao ila kazi nzuri nakuwa mteja wako muda wowote
Mkuu Karibuu sana.

Nimefanya kazi na watu wengi tu na wengine wako humu sijapost hata picha zao huku, nikitaka kupost huwa namuomba mteja coz najua huku ni Media nyingine tofauti na zilizo zoeleka.
 
Mkuje Sasa wadau na hizo Picha zenu tufanye kazi.
Njoo Whatsapp 0759413270
20230311_210757.jpg
 
Mkuu Karibuu sana.

Nimefanya kazi na watu wengi tu na wengine wako humu sijapost hata picha zao huku, nikitaka kupost huwa namuomba mteja coz najua huku ni Media nyingine tofauti na zilizo zoeleka.
Mkuu namba hipatikani na upo off-line WhatsApp
 
Back
Top Bottom