Mkuu Karibuu sana.Mkuu madhani hizo picha za watu ungeweka kwa idhini yao ila kazi nzuri nakuwa mteja wako muda wowote
Mkuu namba hipatikani na upo off-line WhatsAppMkuu Karibuu sana.
Nimefanya kazi na watu wengi tu na wengine wako humu sijapost hata picha zao huku, nikitaka kupost huwa namuomba mteja coz najua huku ni Media nyingine tofauti na zilizo zoeleka.
Kama hii sh ngap