INAUZWA Tunaprint picha mbao na picha saa

Tuna Print na Kubandika Stickers
Karibuni sana
 
Picha mbao Quality sana
Karibuni sana tuendelee kupata kile unacho kitaka
 
Wadau kazi tunaendelea kupokea na kuprint.
Wale walio nje ya Dar es salaam msijali wala msiwe na wasiwasi kazi inafanyika na kutumwa kwa uaminifu mkubwa sana

Njoo whatsapp
0759413270
 
Ndugu Shanley kwa moyo wangu w akupenda kuwapatia connections watu wa JF nilikuunganisha na mtu wangu wa karibu sana kwa ajili ya kazi, amekupa kazi na hupokei simu zake na advance yake ya Tzs 50,000 umekula, unaniharibia reputation yangu lakini pia unajiharibia zaidi. Kama umeshindwa kazi naomba sana rudisha pesa ya watu, nakusihi sana mimi ndio nimemshawishi sana jamaa ufanye nae kazi, nikiamini tunapeana connection, sasa huu ujanja ujanja unatoka wapi?

Tafadhali sana, pokea simu zake au mjibu kama una dharura yoyotem, huo ndio ustaarabu, haya maisha yanahitaji connections na ukweli, stick to that na utatoka! Kama ukeindelea kutokujibu PM zangu na simu za jamaa nitakupigia mimi pia kama ushahidi. Na naahidi baada ya hapo nitachukua hatua
 
Wabongo tuna tamaa sanaa aiseee...atazingizia ubusy...mbongo usimpe advance atakusumbua
 
Hello,
Hii 0759 413 270 ni number yako?
Na inapatikana?
 
🤔
 
Karibu sana ujipatie Rollup Banner kwa ajili ya matukio mbalimbali na Wafanya Biashara.
Broad Base - 150k
Small Base - 130k
Karibuni sana!

0759413270
DAR ES SALAAM
MABIBO near NIT
#HatunaBei
#Popote ulipo tunakufikia.
 

Attachments

  • 20240910_124342.jpg
    243.2 KB · Views: 4
Karibuni sana kwa Huduma ya Kutengeneza Mabango ya 2D na 3D yote ya kuwaka na ya kawaida.

Tunapatikana Kariakoo na Mabibo - Dar es salaam.
Contact us: 0759413270
 

WALL CALENDARS
▫️ Single Page type
▫️ Available in
▫️ A3 Size
▫️ A2 Size
Tuko tayari kuwahudumia kwa uhakika na Uharaka zaidi.

Contact: 0759413270
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…