Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo tuna tamaa sanaa aiseee...atazingizia ubusy...mbongo usimpe advance atakusumbuaNdugu Shanley kwa moyo wangu w akupenda kuwapatia connections watu wa JF nilikuunganisha na mtu wangu wa karibu sana kwa ajili ya kazi, amekupa kazi na hupokei simu zake na advance yake ya Tzs 50,000 umekula, unaniharibia reputation yangu lakini pia unajiharibia zaidi. Kama umeshindwa kazi naomba sana rudisha pesa ya watu, nakusihi sana mimi ndio nimemshawishi sana jamaa ufanye nae kazi, nikiamini tunapeana connection, sasa huu ujanja ujanja unatoka wapi?
Tafadhali sana, pokea simu zake au mjibu kama una dharura yoyotem, huo ndio ustaarabu, haya maisha yanahitaji connections na ukweli, stick to that na utatoka! Kama ukeindelea kutokujibu PM zangu na simu za jamaa nitakupigia mimi pia kama ushahidi. Na naahidi baada ya hapo nitachukua hatua
Nimeshangaa sana sana na niliona nikimpa connection anaweza kupata Chochote maana jamaa Wana print Kila mara, Sasa duh namna hii ni ngumu kusaidianaJibu post ya mteja wako. Ili kuondoa shaka nawe sw
Angepokea simu, nasikia mwanzoni alisema ni Sabato hawezi kutoa mzigo, na ilikua Ijumaa, jamaa hakutaka kukomaa akasubiri Lakini baada ya sabato ndio imekua Moja Kwa moja. Ananiharibia MimiWabongo tuna tamaa sanaa aiseee...atazingizia ubusy...mbongo usimpe advance atakusumbua
Hello,HELLO HABARINI.
Ukiwa Unahitaji Picha yeyote na size yoyote.
Kama unaona kusave namba yangu.
Naomba uni-PM namba yako mimi nitakucheki Whatsapp CHAP tufanye Biashara.
Karibuni sanaaaaa.
Nipende pia kuwashukru wale ambao wamekuwa wateja wangu kutoka kwenye huu uzi.
🤔Ndugu Shanley kwa moyo wangu w akupenda kuwapatia connections watu wa JF nilikuunganisha na mtu wangu wa karibu sana kwa ajili ya kazi, amekupa kazi na hupokei simu zake na advance yake ya Tzs 50,000 umekula, unaniharibia reputation yangu lakini pia unajiharibia zaidi. Kama umeshindwa kazi naomba sana rudisha pesa ya watu, nakusihi sana mimi ndio nimemshawishi sana jamaa ufanye nae kazi, nikiamini tunapeana connection, sasa huu ujanja ujanja unatoka wapi?
Tafadhali sana, pokea simu zake au mjibu kama una dharura yoyotem, huo ndio ustaarabu, haya maisha yanahitaji connections na ukweli, stick to that na utatoka! Kama ukeindelea kutokujibu PM zangu na simu za jamaa nitakupigia mimi pia kama ushahidi. Na naahidi baada ya hapo nitachukua hatua