Wizzo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 723
- 256
yan kuna abiria mzembe ametoka arusha kwenda mwanza kaibiwa laptop na kamera kwa uzembe wake kasababishwa 2pelekwe polisi eti kukaguliwa.2mekaguliwa abiria wote na laptop haijaoneka
wadada kuweni makini ktk mambo yenu,mtu alieibiwa ni mkubwa 2 lakn kwa upumbv wake.ame2cheleweshea safar ye2 bure
wadada kuweni makini ktk mambo yenu,mtu alieibiwa ni mkubwa 2 lakn kwa upumbv wake.ame2cheleweshea safar ye2 bure