kaka poleni sana, ni uzembe huo nakubaliana na wewe, pia watu wanapenda show za kijinga, nilishapanda na mtu mara aitoe, mara mbwembwe, tukashuka dk 10, ilikula kwake. du tena hapo unakuta polisi wanajifanya wakali kweli? ila kwa kutokana kupoteza muda mwambieni dereva asikimbize basi ande taratibu tu.gari ni kimotco,roho inauma nasachiwa mzigo wangu kwa ujinga wa m2 m1.pumbavuuu