Tunasema kwa niaba ya Iran; "Hiloooo sijaumia" Radar S300 na S400 za Iran zimepasuliwa

Tunasema kwa niaba ya Iran; "Hiloooo sijaumia" Radar S300 na S400 za Iran zimepasuliwa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Huku unamkuta Ritz na kimsboy na Webabu wanazomea....

"Hilooooooo sijaumia wala nini" aliyegongwa hawezi kukaa vizuri,hawezi kutembea vizuri. Unawatizama unasema "hiiiiiiii" israel walikuwa wanapiga kwa calculation.hawakuwa wanakipigia tu kuua Raia.

Screenshot_2024-10-26-22-54-22-325_com.twitter.android~2.jpg
 
Yaani jisi wabongo tunashangilia hii vita, ngoja kinuke dunia nzima tupelekwe frontline 🐼
binafsi,jukwaa nililobakiza Jf ni ili la intaneshino,majukwaa mengine particularly la siasa sitembelei kabisa maana hakuna chochote uko.
Ukiingia uko unaweza piga ukuta ngumi.
uku intaneshino Kuna raha na tunasahu shida zetu kwa muda.
 
Mkuu wenye dunia wasije tu kukengeuka hizo silaha za moto zikaanza kurushiwa huku kwetu
 
Back
Top Bottom