Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Dah! Umenikumbusha mbali sana.mmejigeuza Ben Kiko
binafsi,jukwaa nililobakiza Jf ni ili la intaneshino,majukwaa mengine particularly la siasa sitembelei kabisa maana hakuna chochote uko.Yaani jisi wabongo tunashangilia hii vita, ngoja kinuke dunia nzima tupelekwe frontline 🐼
Mkuu wenye dunia wasije tu kukengeuka hizo silaha za moto zikaanza kurushiwa huku kwetubinafsi,jukwaa nililobakiza Jf ni ili la intaneshino,majukwaa mengine particularly la siasa sitembelei kabisa maana hakuna chochote uko.
Ukiingia uko unaweza piga ukuta ngumi.
uku intaneshino Kuna raha na tunasahu shida zetu kwa muda.