Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea wanatarajiwa kulamba kitita cha bilioni 434 za Kitanzania kutoka kwa wasimamizi wa ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika wikiendi hii.
Fedha hizo ambazo ni sehemu ya zawadi ya kutwaa ubingwa pamoja na haki ya matangazo ya luninga, Chelsea imejikusanyia pesa nyingi paundi mil 150, tofauti ya bingwa wa msimu wa uliopita Leicester City aliyepata paundi 93.
Hii inafuatia kuongezeka dau la udhamini kwenye matangazo ya ndani kwenye mkataba mpya wa EPL dhidi ya warusha matangazo SkySport na BT Sports wanaorusha jumla ya michezo 168 ya ligi hiyo moja kwa moja.
Mkataba mpya wa EPL na wenye haki ya kuonyesha michezo hiyo unaonyesha kila mechi moja ni sawa na paundi mil 10.19 sawa na fedha za kitanzania bil 2.7 kwa mchezo.
Mgawanyo wa fedha hizo unaonyesha mshindi wa pili anapata paundi milioni 144, mshindi wa tatu paunid milioni 142, mgao huo unaendelea kwa timu zote na timu ya mwisho inaambulia paundi mil 97
sijachangia kwa muda kidogo kwenye nyuzi za soccer ila hii mada imenigusa nichangie hapa, nafikiri hujui ile PRIZE-MONEY inapatikana vipi na kwa mchanganuo upi(Based on UEFA Competition)...na nachoona hapo umegusia tu pesa za EPL Bila kutoa mchanganuo wa UEFA, Ukweli ni kuwa huo mgawanyo wa pesa za uefa unamlolongo mrefu sana na unatokana na vigezo vingi sana kwa bingwa na hata kwa washiriki wengine ikiwemo NUMBER OF WINNING MATCHES PER GROUP STAGES, PER KNOCK-OUT STAGES, QUARTER-FINAL STAGES, SEMI-FINAL STAGES UP TO THE FINAL...Hivyo kama umenielewa nachomaanisha ni kuwa kuna timu inaweza isiwe bingwa wa michuano ya UCL na akawa kapata pesa nyingi kuliko winner mwenyewe kutokana na matokeo halisi iliyopata katika kila matches pamoja na live games zake zilizorushwa na vituo vilivyopewa dhamana na UEFA wenyewe based on TV-Rights Kwa mfano mwaka jana juve alifika fainali lakini hakutwaa ubingwa na mwisho wa siku wakaibuka na pesa ndefu ambayo ni
€101.1 million kuliko timu yangu bingwa madrid iliyopata
€89.5 million pamoja na kuchukua taji lile la UCL, Hii inatokana na vigezo vingi vikiwemo nilivyogusia hapo awali hivyo kila stage ya champions league ni pesa, hapo chini nitaweka mchanganuo halisi katika kila stage ya UEFA based on 2017/2018 na 2014/2015...Ingawaje kuna tofauti kidogo kwenye prize money katika misimu hiyo miwili, kuhusu swala la kuwa na pesa kidogo ni liko wazi kabisa...maana pesa haitolewi tu kizembe kwasababu ya ukubwa/jina la Trophy isipokuwa kutokana na mapato yaliyoingizwa na shirikisho hilo la soccer ulaya katika msimu husika hivyo ni wazi kabisa mapato yatakayopatikana kutokana na maandalizi ya zile matches 13 za UEFA si sawa na matches 38 za EPL, Hivyo ulinganishi wako hauna misingi yoyote labda ungelinganisha ligi na ligi kule europe labda EPL VS SERIE A, LALIGA , BUNDESLIGA, LEAGUE 1, EREDIVISIE, LIGA NOS...n.k Hapo ungeeleweka atleast kuliko kulinganisha EPL yenye matches 13 na EPL yenye matches 38, michanganuo hiyo hapo jionee mwenyewe. Nafahamu umefika kote huko kuikosoa hiyo uefa kwa kuwa timu yako chelsea imeshindwa kufurukuta na hatimaye kutolewa mapema tu. usijali huo ndo mchezo ila sio kuiponda michuano waache waliofanikiwa kuendelea hatua za mbele kufikia fainal wavune wanachopanda.
POT 1: UEFA Champions League 2017-18 Fixed Amount Distribution
STAGE Total Fixed Amount: €761.9 million
Playoff Bonus : €50 million distributed to 20 teams who participated in playoffs. €2m each for playoff winners and €3 million each for eliminated teams.
Participation Bonus: €12.7 million (Guaranteed) for each 32 teams who play in the group stages
Performance Bonus: €1.5 million for every win & €500,000 for every draw in group stages
Round of 16: €6 million each for 16 teams
Quarter Finals: €6.5 million each for 8 teams
Semifinals: €7.5 million each for 4 teams
Runner Ups: €11 million
Final: €15.5 million
Potential Total : Winner of 2017-18 champions league can earn between €54m to €57.2m from “Fixed Amount” pot. Plus Market pool money which can easily elevate total earnings of winners from England, Spain, Germay or Italy around €100 million (prize money + market pool)
Champions League 2016-17 Finalists
STAGE Real Madrid VS Juventus
Participation Bonus : REAL €12.7 million, JUVE €12.7 million.
Performance Bonus: REAL €6 million (for winning 3 group games and drawing 3), JUVE €8 million (for winning 5 group games + 1 Draw)
Market Pool: REAL €35.3 million, JUVE €50.6 million.
Round of 16: REAL €6 million, JUVE €6 million.
Quarter Finals: REAL €6.5 million , JUVE €6.5 million.
Semifinals : REAL €7.5 million, JUVE €7.5 million.
Finals: REAL €15.5 million (winners), JUVE €11 million (runner ups)
TOTAL: REAL MADRID €89.5 million, JUVENTUS €101.1 million.
- Real Madrid will earn around €35.3 million in market pool money plus €54.2m in performance based money taking total earnings from 2016-17 season to €89.3 million.
- Juventus will get around €50.6 million in market pool plus €51.5m in performance based making grand total of €101.1 million for their 2016-17 champions league campaign.
UEFA Distributed Prize Money In 2014-15 Champions League Season.
Following table shows how all the 32 participating teams were paid in prize money, performance bonus and market pool money.
NI HAYO TU NDUGU!