City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
[emoji106]Tulia nakuja...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106]Tulia nakuja...
SkySport hawana rights za kurusha EPL. wenye rights ni BskyB na BT (British Telecoms). Ingawaje BSkyB ndio wamiliki wa SkyMabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea wanatarajiwa kulamba kitita cha bilioni 434 za Kitanzania kutoka kwa wasimamizi wa ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika wikiendi hii.
Fedha hizo ambazo ni sehemu ya zawadi ya kutwaa ubingwa pamoja na haki ya matangazo ya luninga, Chelsea imejikusanyia pesa nyingi paundi mil 150, tofauti ya bingwa wa msimu wa uliopita Leicester City aliyepata paundi 93.
Hii inafuatia kuongezeka dau la udhamini kwenye matangazo ya ndani kwenye mkataba mpya wa EPL dhidi ya warusha matangazo SkySport na BT Sports wanaorusha jumla ya michezo 168 ya ligi hiyo moja kwa moja.
Mkataba mpya wa EPL na wenye haki ya kuonyesha michezo hiyo unaonyesha kila mechi moja ni sawa na paundi mil 10.19 sawa na fedha za kitanzania bil 2.7 kwa mchezo.
Mgawanyo wa fedha hizo unaonyesha mshindi wa pili anapata paundi milioni 144, mshindi wa tatu paunid milioni 142, mgao huo unaendelea kwa timu zote na timu ya mwisho inaambulia paundi mil 97
.Championships ina timu 24. Mbili zinapanda daraja moja kwa moja. Hawa ni bingwa na mshindi wa pili. Mshindi wa 3,4,5,na 6 wanacheza play off kupata timu ya 3 itakayopanda daraja kucheza EPL.
Baada ya kucheza zinabaki mbili. Fainal inapigwa pale Wembley. Mshindi wa hii vame ndio anapata pesa nyingi kuliko yule bingwa wa UCL na Epl.
Kwa kuongeza. Kwenye mashindani yote ngazi za club barani ulaya fainal ya championship bingwa ndio anapata pesa nyingi kuliko mabingwa wa makombe mengine barani ulaya. Iwe laliga, Serie A, Ligue 1 na hata Bundasliga...
Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea wanatarajiwa kulamba kitita cha bilioni 434 za Kitanzania kutoka kwa wasimamizi wa ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika wikiendi hii.
Fedha hizo ambazo ni sehemu ya zawadi ya kutwaa ubingwa pamoja na haki ya matangazo ya luninga, Chelsea imejikusanyia pesa nyingi paundi mil 150, tofauti ya bingwa wa msimu wa uliopita Leicester City aliyepata paundi 93.
Hii inafuatia kuongezeka dau la udhamini kwenye matangazo ya ndani kwenye mkataba mpya wa EPL dhidi ya warusha matangazo SkySport na BT Sports wanaorusha jumla ya michezo 168 ya ligi hiyo moja kwa moja.
Mkataba mpya wa EPL na wenye haki ya kuonyesha michezo hiyo unaonyesha kila mechi moja ni sawa na paundi mil 10.19 sawa na fedha za kitanzania bil 2.7 kwa mchezo.
Mgawanyo wa fedha hizo unaonyesha mshindi wa pili anapata paundi milioni 144, mshindi wa tatu paunid milioni 142, mgao huo unaendelea kwa timu zote na timu ya mwisho inaambulia paundi mil 97
Mimi nitaeleza kwa uelewa, Championship play off inaitwa big money price kwa maana ukishinda play off na kwenda EPL team inakuwa umaskini byebye kwa wakati huo maana kuwa promoted kwenda EPL ina maana team itapata mpaka Milion 170. Kama nilivyosema sababu kubwa kuwa playoff tajiri sana ni kusema nilikuwa napata Million 20 lakini leo nikishinda naingia katika Million 100+ maana team ya chini tu EPL anaokota kiasi hicho. wana mfumo wao wa kuzawadia team ila ni ukweli playoff tajiri kwa maana guarantee generate revenue. Nimejitahidi kuelezea kwa uelewa wangu na naweza kuwa sio kila kitu ni sawa.Upo sawa. Vp kwenye fainal ya championship?
Daaah . . . . kweli kuna tofauti ya nchi za dunia ya kwanza na nchi za dunia ya tatu . Tuna safari ndefu sana kufika huko na ligi yetu hii ya Tanzania iliyojaa mipango mipangoMabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), Chelsea wanatarajiwa kulamba kitita cha bilioni 434 za Kitanzania kutoka kwa wasimamizi wa ligi hiyo inayotarajiwa kumalizika wikiendi hii.
Fedha hizo ambazo ni sehemu ya zawadi ya kutwaa ubingwa pamoja na haki ya matangazo ya luninga, Chelsea imejikusanyia pesa nyingi paundi mil 150, tofauti ya bingwa wa msimu wa uliopita Leicester City aliyepata paundi 93.
Hii inafuatia kuongezeka dau la udhamini kwenye matangazo ya ndani kwenye mkataba mpya wa EPL dhidi ya warusha matangazo SkySport na BT Sports wanaorusha jumla ya michezo 168 ya ligi hiyo moja kwa moja.
Mkataba mpya wa EPL na wenye haki ya kuonyesha michezo hiyo unaonyesha kila mechi moja ni sawa na paundi mil 10.19 sawa na fedha za kitanzania bil 2.7 kwa mchezo.
Mgawanyo wa fedha hizo unaonyesha mshindi wa pili anapata paundi milioni 144, mshindi wa tatu paunid milioni 142, mgao huo unaendelea kwa timu zote na timu ya mwisho inaambulia paundi mil 97
Halafu kabla ya hicho kiasi kuna pesa timu hupata kila inapo vuka hatua fulani na huongezeka kila hatua....Watanzania tunasikitisha sana. Ila naamini tatizo ni hii elimu. Tumekua kama hawa wazee wanatuambia shirika la Ndege linaingiza mabilioni bila kutueleza operation cost ni kiasi gani.
Bingwa wa UEFA msimu uliopita kapiga €89.5 mill, msimu huu zawadi zimeongezwa by 10%. Sasa kwa akili za haraka tu maandalizi ya mechi 38 na maandalizi ya mechi 13 nani anaingia gharama zaidi?
Sasa weka na hiyo nyongeza ya 10%.
Mkuu tatizo hujaangalia avatar ya mtoa madaHata mie nimeshangaa! Ubingwa achukue Man City then bingo ale Chelsea?
Kama sijaelewa hivi au mleta Maja kajichanganya mwenyewe?
Hahaaa kavurugwa
Nadhani aiseeNafikiri yupo ndotoni
Mimi nitaeleza kwa uelewa, Championship play off inaitwa big money price kwa maana ukishinda play off na kwenda EPL team inakuwa umaskini byebye kwa wakati huo maana kuwa promoted kwenda EPL ina maana team itapata mpaka Milion 170. Kama nilivyosema sababu kubwa kuwa playoff tajiri sana ni kusema nilikuwa napata Million 20 lakini leo nikishinda naingia katika Million 100+ maana team ya chini tu EPL anaokota kiasi hicho. wana mfumo wao wa kuzawadia team ila ni ukweli playoff tajiri kwa maana guarantee generate revenue. Nimejitahidi kuelezea kwa uelewa wangu na naweza kuwa sio kila kitu ni sawa.