Tunashabikia UEFA Champions League lakini pesa anayolipwa bingwa wa EPL ni kubwa zaidi

Tunashabikia UEFA Champions League lakini pesa anayolipwa bingwa wa EPL ni kubwa zaidi

Hujaeleweka, inaonekana wewe mwenyewe hujui vizuri.

Ungepata muda wa kigoogle then ndo ukaleta maelezo.
Ku google kila mtu anaweza hilo. kwa maana nyepesi ukishinda play off ni kama umeshinda jackpot ya Million 170 ukifungwa unarudi ulikotoka kutafuta pesa ya kununua ticket ya jackpot tena.
 
Ku google kila mtu anaweza hilo. kwa maana nyepesi ukishinda play off ni kama umeshinda jackpot ya Million 170 ukifungwa unarudi ulikotoka kutafuta pesa ya kununua ticket ya jackpot tena.

Siyo kila MTU anaweza ku-google, ndo maana humu tunakuwa tunaelekezana.

Point yangu ni kwamba, kama kuna kitu unataka kukitolea ufafanuzi humu na kuna source mahali, ipitie kwanza ili jibu lako liwe comprehensive.

Siyo unaandika halafu unajiuliza au una doubt ulichoandika.
 
Hata mie nimeshangaa! Ubingwa achukue Man City then bingo ale Chelsea?
Kwani inashindikana Nini mkuu?? Kama risasi ilipigwa Juu ikapiga Kona ikapinda kulia na kushoto, ikapenyapenya ikimtafuta aqwilin na ikampata Sasa Hilo la Chelsea linashindikanaje??
 
Kwani inashindikana Nini mkuu?? Kama risasi ilipigwa Juu ikapiga Kona ikapinda kulia na kushoto, ikapenyapenya ikimtafuta aqwilin na ikampata Sasa Hilo la Chelsea linashindikanaje??
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwanza tu timu iliyoishia hata nusu fainali ina hela chafu kuzidi hata huyo bingwa wa EPL.
 
Kwanza tu timu iliyoishia hata nusu fainali ina hela chafu kuzidi hata huyo bingwa wa EPL.
Acha uongo mkuu
Juve wakati anacheza finally na madrid na madrid kutwaa ndoo
Juve alikusanya pesa nyingi mno kuliko hata bingwa mwenyewe madrid
Madrid alichukua £millions 90 huku juve akikusanya £millions 101 sasa bado Hiyo ni pesa ndogo mbele ya bingwa wa EPL
 
Hoja hapa ni bingwa wa uefa kulamba pesa ndogo
Hiyo ni kopy tu kuonyesha chelsea alipotwaa ubingwa msimu uliopita alipata pesa ndefu kuliko ile ya leicester pauni million 93 kutokana na wadhamini kuongezeka
Vipi bingwa wa UEFA anapata pesa ndogo hivyo ?
Nilitegemea awe anakunja ndefu kwa kuwa ni michuano pia inayotazamwa duniani kote
Maelezo yako ya awali hayako sawa
 
Kama wanashinda La Liga hapo sawa ila sio EPL
 
Back
Top Bottom