Ku google kila mtu anaweza hilo. kwa maana nyepesi ukishinda play off ni kama umeshinda jackpot ya Million 170 ukifungwa unarudi ulikotoka kutafuta pesa ya kununua ticket ya jackpot tena.Hujaeleweka, inaonekana wewe mwenyewe hujui vizuri.
Ungepata muda wa kigoogle then ndo ukaleta maelezo.
Ku google kila mtu anaweza hilo. kwa maana nyepesi ukishinda play off ni kama umeshinda jackpot ya Million 170 ukifungwa unarudi ulikotoka kutafuta pesa ya kununua ticket ya jackpot tena.
Kwani inashindikana Nini mkuu?? Kama risasi ilipigwa Juu ikapiga Kona ikapinda kulia na kushoto, ikapenyapenya ikimtafuta aqwilin na ikampata Sasa Hilo la Chelsea linashindikanaje??Hata mie nimeshangaa! Ubingwa achukue Man City then bingo ale Chelsea?
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwani inashindikana Nini mkuu?? Kama risasi ilipigwa Juu ikapiga Kona ikapinda kulia na kushoto, ikapenyapenya ikimtafuta aqwilin na ikampata Sasa Hilo la Chelsea linashindikanaje??
Acha uongo mkuuKwanza tu timu iliyoishia hata nusu fainali ina hela chafu kuzidi hata huyo bingwa wa EPL.
Maelezo yako ya awali hayako sawaHoja hapa ni bingwa wa uefa kulamba pesa ndogo
Hiyo ni kopy tu kuonyesha chelsea alipotwaa ubingwa msimu uliopita alipata pesa ndefu kuliko ile ya leicester pauni million 93 kutokana na wadhamini kuongezeka
Vipi bingwa wa UEFA anapata pesa ndogo hivyo ?
Nilitegemea awe anakunja ndefu kwa kuwa ni michuano pia inayotazamwa duniani kote