Pre GE2025 Tunashuhudia Mapinduzi ya Kilimo ya kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

Pre GE2025 Tunashuhudia Mapinduzi ya Kilimo ya kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
2025 ni moja Kati ya uchaguzi ambao utakua easy sanaa ...hakuna upinzani mpk saiv zaid ya wahuni
Kwakulingana mie nimfuasi pendwa kwenye sekta ya uvuvi (mvuvi) wacha nitulize shobo endeleeni tu kumpongeza mie sina neno tena,, WITHOUT THE REMOVAL OF MAKOKORO I won't appreciate samia ever any way continue
 
Bashe yuko poa ..kuna mda hawa wanasiasa wanaletaka ujinga wakiona mwenzao yuko vizur
yule jamaa wa kutumia rula kupima ukubwa wa samaki waliorostiwa kwa nazi alitaka kumletea kisirani lakini akaishia kusimamishwa vikao vya bunge, akadhani hasira zake za kutemwa baraza la mawaziri zitamwangusha Bashe 🐒
 
Mimi sioni mapinduzi ya aina yeyote ya kilimo. Kama Taifa iliweka lengo mathalani pamba kuwa mwaka 2024 Taifa litazalisha marobota 750,000 lakini cha ajabu uzalishaji 2024 hautafika hata marobota 50,000. Nenda vijijini uone wakulima wanavyolima hovyo hovyo hakuna cha maelekezo ya Maafisa ugani. Shamba ekari moja la mahindi mkulima anatoa gunia 4. Shamba ekari moja la mpunga mkulima anatoa gunia 3. Mapinduzi gani ya kilimo wanayotuambia.
 
2025 ni moja Kati ya uchaguzi ambao utakua easy sanaa ...hakuna upinzani mpk saiv zaid ya wahuni
Mkuu, kama kuna wahuni kwa nini utumie mbinu alizosema aliyekuwa waziri wa habari? Au neno wahuni ni la kujifariji tu wakati ukweli unaujua?
 
Back
Top Bottom