MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na malipo yalikamilishwa Jumanne iliyopita, na ni madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia sasa.
Cha kushangaza kidogo Pesa zilizolipwa kwa Mzungu zimekuwa deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Rais au Ofisi ya Rais. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo hazina wana jukumu sasa la kupeleka cash zingine kwenye matumizi ya Ikulu.
Jamaa kaniambia kwenye makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili sharti pia lina gharama zake maana yake kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye socia media. Hivyo basi hamtakaa msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.
Tunashukuru Serikali kwa kumalizana naye.
Na kwa sasa ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app