Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.
Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.
Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.
Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.
Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.
Sent using
Jamii Forums mobile app