Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

Nasikia baada ya kupata hizo hela mzungu anatafuta mke wa pili. Vipi tukuunganishe nae?
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo mbona limekuudhi sana?why umeumizwa kiasi hicho na thread ya huyu jamaa? 😁😁😁😁😁 Wewe hapo umelipwa nini kwa haya uliyoandika? Jamaa kafikisha ujumbe na mjumbe hauawi.wewe umepaniki na kuanza kutokwa na mapovu sehemu zako zoooote za wazi?

Hata kama ni kweli tumelipa, Immmma, Tundu Lisu& Co. hawakujui na wala hawatakupa hata shilingi, wenzako hela ya uwakili wameingiziwa kwenye akaunti na Muzungu wewe takataka unabakia kupiga mihayo ya ushabiki hapa JF.

Low IQ individual!
 
All in all ndege tumeiona na kosa LA kukamatwa john si mhusika karithi!
 
Nyosha Maneno kwamba mnatumia vibaya kodi zetu nikitoka huko mnakuja kawabebesha mama ntilie vitambumbulisho vya 20000 mumelaniwa

Wewe angalau unaumia, hiyo ndiyo inayotakiwa, na siyo kufurahia na Muzungu.
 
We ndo hujui lolote. Nchi Hii watu wamepiga sana hela na inawezekana wewe mmojawapo. Na mbinu zenu ndo Hizo. JPM alishajajua mengi. Kaa ukijua huyu Ni Rais mwenye uchungu wa dhati. Ndo mana hata lugha zake hazina usiasa Siasa wa kutaka kuwaridhisha wajinga kama nyie.
Naye ni mmoja wa waliokua wapigaji vile vile. Nyumba za serikali kugawia kimada, kivuko kibovu, huko CCM hakuna msafi
 
Unasema umepata habari za ndani. Umewezaje kupata habari za ndani wakati kila uchwao mnasema mahakama za nje sio kama za Tanzania. Je, hii kesi ilisikilizwaje? In Chambers au outside Chambers? Kama ni kweli basi tuletee hukumu maana wenzetu kwenye kesi huwa wanaandika hukumu ambayo kila anayetaka huwa anaweza kupata ie. mahakama zao ni huru kama mnavyodai. Kama hivyo ni kweli una maana SA Court walitoa hukumu potofu? Wacha kuleta kamba kwenye maswala ya msingi. Tuleeteeni hukumu kama nyie ni wa kweli tuache hizi hadithi za esopo.

Ukiangalia body language na Balozi wa Canada mimi kwa ninavyoona Canadians wamesisitiza hukumu iliyotolewa na SA Court na yule mkulima ameambiwa aje Bongo amalizane na madai yake. Bila hivyo Canadians wangekuwa na wakati mgumu.

Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mzungu alikuwa analipwa na marais wote waliopita hata kama deni halikuisha. Alipoingia magu kama kawaida yake ya kutumia mabavu kwenye haki za watu, akagoma kumlipa huyo mzungu, bila kujua huyo mzungu sio sisi makondoo wa hapa tunaomuachia Mungu. Huyo mzungu kaenda kwenye nchi ambazo sheria ziko juu ya viongozi wa nchi mpaka kapata haki yake. Laiti huyo mzungu angeendelea kudai haki yake kwenye mahakama za hapa nyumbani tena akiwa hapa, asingepata haki yake maana mahakama haziko huru, na si ajabu watu wasiojulikana wangekuwa wameshaagizwa wamfanyie ya Lissu.

Toa ushahidi wacha Majungu.
 
Watu mnafuatilia ulitaka tufanyeje Kama watz,ndege imerudi endelea kukaa nyuma ya keyboard baba Magu anapiga kazi inaonesha nyie ndio mashangingi ya mtaani na hata hukosi shanga kiunoni,utafikiri sio mtz
 
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi Maendeleo Hayana Chama
Tembeeni Kifua Mbele Tupo Kwenye Light Track
Tanzania Kwasasa Ipo Vema
Tanzania Ni Tajiri Sana

Mabeberu Hayatusi Tena
 
Kam
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli ni jambo zuri kwanza deni hili sio la selikali ya awamu yano lilikuepo so kama ndivyo usemalo ni jambo jema kabisa nichukue fulsa hii kupongeza selikari kama kweli unacho sema kipo sahii
 
Hivi hata nchi za waliostarabika tangu karne ya 16 pesa za wakubwa zao huwa hazikaguliwi...kwa mfano pale kwa Mzee Donald pakoje
 
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi Maendeleo Hayana Chama
Tembeeni Kifua Mbele Tupo Kwenye Light Track
Tanzania Kwasasa Ipo Vema
Tanzania Ni Tajiri Sana

Mabeberu Hayatusi Tena
Aaaa usimeme mabeberu...sema wadau wa maendeleo..!!
 
Akijitokeza na mdai mwingine je ?? Duh
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umedanganywa. Mkulima hajalipwa bado ila siku kama sio wiki chache zijazo atakuja hapa Tanzania, atakaa na serikali ili suala limalizike.
 
Back
Top Bottom