Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

Una uhakika kapata haki yake? Au unatamani Iwe hivyo? Unajua alikua analipwaje huko nyuma mpaka sasa hivi Magu akaamua kusitisha malipo ya huyo mzungu? Usipende kuropoka vitu usivyovijua kisa tu upo kwenye keyboard hakuna mtu anaekujua.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
mboni hivyo hasira za nn tena wakati deni limelipwa kupitia ofisi kuu
 
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta hiyo source ya taarifa yako,pay sheet ya malipo ikiwa na mhuri wa mahakamani. Otherwise hii taarifa yako Niya kupuuza maana haina hoja nzito ya kujitosheleza yeyote zaidi ya Mapambio tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mustakabali mzima wa maswala ya ndege uko chini ya Rais ambae hatujawahi kumchagua

1576384764319.jpeg
 
Wewe umepata ngapi kwani?
Hata kama ni kweli tumelipa, Immmma, Tundu Lisu& Co. hawakujui na wala hawatakupa hata shilingi, wenzako hela ya uwakili wameingiziwa kwenye akaunti na Muzungu wewe takataka unabakia kupiga mihayo ya ushabiki hapa JF.

Low IQ individual!
 
Ndiyo ubaya wa kurithi ofisi ambayo imejaa uchafu na ya hovyo. Ukirithi ofisi yale mazuri au mabaya ni ya kwako. Pole sana Mhe. Rais wa Awamu ya Tano. Umelipa au utalipa deni ambalo siyo la kwako.
 
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
That Is obvious, huoni wanaongea tu Mkulima ameshindwa lkn hawasemi ameshindwaje😀
 
Ndiyo ubaya wa kurithi ofisi ambayo imejaa uchafu na ya hovyo. Ukirithi ofisi yale mazuri au mabaya ni ya kwako. Pole sana Mhe. Rais wa Awamu ya Tano. Umelipa au utalipa deni ambalo siyo la kwako.
kwa kweli ,
 
Boss MURUSI Acha Uongo wako, Tutawezaje kumalizana nae kabisa halafu tumpe pesa ya ziada ya kumzuia asiongee na media??? Au asiongelee Kesi yetu na yake???? Kama tumemalizana nae kabisa, huu uoga wa yeye kuliongelea unatoka wapi??? Huyu Mkulima anatia hasira, wangapi wanaidai Jamhuri aka Serikali na hatujakamata mali za Nchi kupitia Mahakama??? !!!

Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Musiba alisema mzungu ni fix,halafu serikali inapiga magoti kumpoza mzungu asibwabwaje huku JF na kwengineko!
Nalog off
 
Una uhakika kapata haki yake? Au unatamani Iwe hivyo? Unajua alikua analipwaje huko nyuma mpaka sasa hivi Magu akaamua kusitisha malipo ya huyo mzungu? Usipende kuropoka vitu usivyovijua kisa tu upo kwenye keyboard hakuna mtu anaekujua.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Hizi speculations zitaendelea kama serikali yetu haitaweka hadharani kilichojiri huko Canada. Sijaona mbwembwe kama tulizoletewa wakati wa kesi ya kule SA, inawezekana ni kweli tumelizwa. Canada wenzetu sheria iko juu ya mtu yeyote tofauti na hapa kwetu Africa.
 
Hiyo ndege kwanza bado iko kwenye majaribio na bado haijapangiwa root.

Hata hivyo hiyo ni offer ya Rais kwa wana NEC. Kwa vile Rais ni kiongozi wa serikali kwa hiyo ATCL itazidai hela hizo kutoka serikalini.

Achana kuwa na mawazo ya kupotosha habari na kuwadanganya watanzania.

Mnashangaa serikali inawanyima Information kwa sababu nyie kazi yenu ni kupotosha habari Mnazi pewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya deni ni kulipa sio kuzima simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halina mjadala pasipo kithibitisho? Au ni sababu ndio habari unayoipenda, as if ni makosa ya magu kumdhulumu huyo mzungu, haters mbona mtateseka sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ,Mazingira tu ya Tukio lenyewe ni Ushahidi tosha wa kilicho wadilishwa hapa。Tulipo mshinda SA tulitangaza hadharani kwa mbwembwe za kutosha.Huko Canada kulikoni kimya ,zaidi tumeambiwa tu Ndege yetu imeachiwa lakini kilicho tokea mpaka iachiwe hakiwekwi wazi ni kwa nini hatujui.

Tuna Haki ya kupata Habari Sahihi na kwa Wakati Mkuu kama Wananchi wa Tanzania ,Kodi zinazo tumika kufanya Nchi hii iwe hivi ilivyo ni za Wananchi hivyo zinafwaa zihojiwe..

Serikali makini haigopi kuhojiwa ,tujibuni tu kwa Hoja.
 
Back
Top Bottom