Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

Ni vyema sana kama ndilo hilo lilitendeka. Tunatamani ndege zetu ziruke hadi Dubai, Washington DC na Ontario hadi Perth. Faida ya ndege huja kwa kusafiri kwingi sio kujazana KIA na JINA. Sio za kutazamwa kwa macho bali kupandwa kwa nauli. Mambo ya matamko kuwa akina fulani wapande bure biashara haiko hivyo
Hiyo ndege kwanza bado iko kwenye majaribio na bado haijapangiwa root.

Hata hivyo hiyo ni offer ya Rais kwa wana NEC. Kwa vile Rais ni kiongozi wa serikali kwa hiyo ATCL itazidai hela hizo kutoka serikalini.

Achana kuwa na mawazo ya kupotosha habari na kuwadanganya watanzania.

Mnashangaa serikali inawanyima Information kwa sababu nyie kazi yenu ni kupotosha habari Mnazi pewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekeee na clip ya pro. Kabudi ili tuhakikishe kuwa tumelipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujatoa hata Senti tano.
2231929_IMG_20191130_002639.jpeg
 
Hata kama ni kweli tumelipa, Immmma, Tundu Lisu& Co. hawakujui na wala hawatakupa hata shilingi, wenzako hela ya uwakili wameingiziwa kwenye akaunti na Muzungu wewe takataka unabakia kupiga mihayo ya ushabiki hapa JF.

Low IQ individual!
Kama IQ ya Mwigulu au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndege kwanza bado iko kwenye majaribio na bado haijapangiwa root.

Hata hivyo hiyo ni offer ya Rais kwa wana NEC. Kwa vile Rais ni kiongozi wa serikali kwa hiyo ATCL itazidai hela hizo kutoka serikalini.

Achana kuwa na mawazo ya kupotosha habari na kuwadanganya watanzania.

Mnashangaa serikali inawanyima Information kwa sababu nyie kazi yenu ni kupotosha habari Mnazi pewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpotoshaji namba moja ni weye tena weye ni hatari sana. Unasemaje kuwa nimepotosha habari wakati ni andiko la kweli na ndiyo habari ya mujini kuwa Wale wana nec wote wa Darisalama wamepewa offer na m/kiti wao kuwa wapande bure bureeeee kabisa dege letu jipya kutoka Canada toka Mza hadi JINA bila hata passport. Id pekee ni shati la kijani?? Nasema, We ni mpuuuziii sana. Tena mpotoshaji mkubwa.
Ati iko kwenye majaribio. Unafanyia roho za watu majaribio?? Kwa nini wasipakie Sangara humo kuona ka inauwezo wa kubeba mizigo na sio watu?? Yaani ikianguka na hao wajumbe mtasema ni haki yao??
 
Atakuwa amelipwa, ingelikuwa siyo hivyo, labda mmeshinda kesi, hata hukumu mngelikuwa mmeiweka hapa. Ukimya huu juu ya suala limeishaje ni kuwa mmelipa. Asilipe, ashinde kesi, anavyolipuka anyamaze baridiiiiii kiasi hiki. Amepigwa kichwa kama anavyopigwa nyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mzungu alikuwa analipwa na marais wote waliopita hata kama deni halikuisha. Alipoingia magu kama kawaida yake ya kutumia mabavu kwenye haki za watu, akagoma kumlipa huyo mzungu, bila kujua huyo mzungu sio sisi makondoo wa hapa tunaomuachia Mungu. Huyo mzungu kaenda kwenye nchi ambazo sheria ziko juu ya viongozi wa nchi mpaka kapata haki yake. Laiti huyo mzungu angeendelea kudai haki yake kwenye mahakama za hapa nyumbani tena akiwa hapa, asingepata haki yake maana mahakama haziko huru, na si ajabu watu wasiojulikana wangekuwa wameshaagizwa wamfanyie ya Lissu.

We ndo hujui lolote. Nchi Hii watu wamepiga sana hela na inawezekana wewe mmojawapo. Na mbinu zenu ndo Hizo. JPM alishajajua mengi. Kaa ukijua huyu Ni Rais mwenye uchungu wa dhati. Ndo mana hata lugha zake hazina usiasa Siasa wa kutaka kuwaridhisha wajinga kama nyie.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe ni mmoja ya viumbe hai mnaopaswa kuuawa kwa kunyongwa mpaka kufa.
 
We ndo hujui lolote. Nchi Hii watu wamepiga sana hela na inawezekana wewe mmojawapo. Na mbinu zenu ndo Hizo. JPM alishajajua mengi. Kaa ukijua huyu Ni Rais mwenye uchungu wa dhati. Ndo mana hata lugha zake hazina usiasa Siasa wa kutaka kuwaridhisha wajinga kama nyie.

Toka nje ya box, kuliwa hela mpaka leo bado zinaliwa, ila sema kwa sasa uhuru wa habari uko kapuni. Rejea ziara za waziri mkuu na rais kila mahali wakisaka kiki upigaji ulivyo mkubwa. Kwa taarifa yako kauli zote za jiwe zimejaa siasa za wazi, labda kama hujui kauli za kisiasa siasa zikoje. Sema yeye hana siasa za mvuto wala hoja bali Maguvu. Mtu kuwa na uchungu wa nchi sio mpaka uambiwe, matendo yake kwa ujumla yanaweza kukueleza. Tofautisha uchungu wa nchi na uchu wa madaraka, mtu muongo huwezi kupima uchungu wake kwenye nchi, zaidi ya kulaghai watu ili aendelee kukaa madarakani.
 
Una uhakika kapata haki yake? Au unatamani Iwe hivyo? Unajua alikua analipwaje huko nyuma mpaka sasa hivi Magu akaamua kusitisha malipo ya huyo mzungu? Usipende kuropoka vitu usivyovijua kisa tu upo kwenye keyboard hakuna mtu anaekujua.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Wewe unajua alikua akilipwaje? Wacha kuwa poyoyo kama Mayalla
 
Ni Vyema kama Sirikali wamemalizana na MKULIMA maana DAWA YA DENI NI KULIPA TU.
 
Habari za weekend?
Nina info za uhakika kabisa kutoka vyanzo vya kuaminika kabisa kabisa kwamba Mkulima kamalizwa na Malipo yalikamilishwa Juma 4 ilio pita, na ni Madai yake yote na safari hii pia tutarajie hata safari za South Africa kuanza muda wowote kuanzia saaa.

Cha kushangaza kidogo Pesa zilizo lipwa kwa Mzungu zimekuwa Deducted kutoka kwenye pesa za matumizi ya Raisi au Ofisi ya Raisi. Na hii ni ili ukaguzi usiwepo kabisa, hivyo hizi pesa hazitakaa zikaguliwe kokote kule na hapo Hazina wana jukumua sasa la kupeleka Cash zingine kwenye Matumizi ya Ikulu.

Jamaa kaniambia kwenye Makubaliano ni kwamba Mkulima asiongelee chochote kile na hili Shariti pia lina gharama zake make kuna pesa na za ziada kapewa ambazo in hisiwa ni za kumnyamazisha kwenye Socia Media. Hivyo basi hamtakaa .msikie mzungu akiongea chochote kuhusu ndege ila kamamalizwa kabisa.

Tunashukuru Serikali kwa Kumalizana naye.

Na kwa sasa Ndege zetu zitakuwa huru kufanya safari kokote kule Duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeandika kishabiki mno...You have to be objective angalau kidogo
 
Angalau wewe umeonyesha una above average IQ kulinganisha na wenzako, kwani unaonekana kuumizwa na hela zetu, wenzako wanashangilia na kupiga vigelele tukilipa, wanaamini kabisa ni hela ya Mshahara wa Raisi Magufulu ndiyo inalipa, hivyo wanamkomoa, kulingana na akili yao, ofcourse!
Nyosha Maneno kwamba mnatumia vibaya kodi zetu nikitoka huko mnakuja kawabebesha mama ntilie vitambumbulisho vya 20000 mumelaniwa
 
Back
Top Bottom