Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji112]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpotoshaji namba moja ni weye tena weye ni hatari sana. Unasemaje kuwa nimepotosha habari wakati ni andiko la kweli na ndiyo habari ya mujini kuwa Wale wana nec wote wa Darisalama wamepewa offer na m/kiti wao kuwa wapande bure bureeeee kabisa dege letu jipya kutoka Canada toka Mza hadi JINA bila hata passport. Id pekee ni shati la kijani?? Nasema, We ni mpuuuziii sana. Tena mpotoshaji mkubwa.
Ati iko kwenye majaribio. Unafanyia roho za watu majaribio?? Kwa nini wasipakie Sangara humo kuona ka inauwezo wa kubeba mizigo na sio watu?? Yaani ikianguka na hao wajumbe mtasema ni haki yao??
Sent using Jamii Forums mobile app