Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Mchezo ulikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana timu nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustadhi wetu amekuja kumaliza mchezo.
Wana Yanga tambeni, huu mchezo tumeshashinda. Tunashukuru kwa michango yenu, na pia viongozi kutuunga mkono. Hatuwezi fungwa na simba, sisi siyo mabwege.
Sisi siyo De Agosto. Yanga tukifungwa leo nipigwe ban wiki mbili. Hatuwezi fungwa na Simba wachovu.