Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Kama uhakika upo hii sentensi ya uwezekano na pendekezo la adhabu unaitoa kwann?YANGA TUKIFUNGWA LEO NIPIGWE BAN WEEK MBILI. Hatuwezi fungwa na Simba wachovu.
Goli walilofunga yanga ni Goli Zuri kweli aisee.... Do hatari sana.
ππππ€£Ustaadhi wetu kashamaliza mchezo. Game ilikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana team nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustaadhi wetu amekuja kumaliza mchezo.
Wanayanga TAMBENI HII GAME TUMESHASHINDA. Tunashukuru kwa michango yenu. Na pia viongozi kutuunga mkono. Hatuwezi fungwa na simba. Sisi siyo mabwege.
Sisi siyo De Agosto. YANGA TUKIFUNGWA LEO NIPIGWE BAN WEEK MBILI. Hatuwezi fungwa na Simba wachovu.
Wazee wa tv ya asili katika ubora wenuπ πUstaadhi wetu kashamaliza mchezo. Game ilikuwa ngumu kutokana na Simba kuwa wana team nzuri lakini kwa mipango hii tumewashika pabaya. Mzee Mpili alitimiza malengo akapata changamoto kidogo lakini Ustaadhi wetu amekuja kumaliza mchezo.
Wanayanga TAMBENI HII GAME TUMESHASHINDA. Tunashukuru kwa michango yenu. Na pia viongozi kutuunga mkono. Hatuwezi fungwa na simba. Sisi siyo mabwege.
Sisi siyo De Agosto. YANGA TUKIFUNGWA LEO NIPIGWE BAN WEEK MBILI. Hatuwezi fungwa na Simba wachovu.
Hawa simba wamerudisha goli do hatari sanaHuku imeisha kwa suluhu ya goli moja kwa moja
Nadhani mmeliona goli lenyewe....!Goli walilofunga yanga ni Goli Zuri kweli aisee.... Do hatari sana.