Tunashukuru Mgomo Kariakoo umekwisha salama

Waliokuwa wanamponda A.CHALAMILA na uwezo wake wa kutatua migogoro nadhani wamemuelewa sasa!😀😀.
Alisema wanaogoma wagome na wanaoendelea na biashara waendelee,na yeye atawalinda wote wanaogoma na wasiogoma.

Mkuu wa mkoa namkubali sana,huwa anafalsafa zake fulani hiviii,siye wenye akili ndogo inatuchukua muda kumuelewa.
 
Chalamila mtu makini sana
 
Wameahidiwa Tena Hadi hewa na kukubali?Tanzania kujikomboa kama Kenya Bado sana.
Ukimwona mtoto mdogo anaponza kupiga hatua kujifunza kutembea hutaamini kabisa kuwa kuna siku anaweza kuja kuwa nguli wa kutimua mbio kama mwanariadha au mcheza mpira bila kuanguka. Kwangu mimi ''migomo uchwara'' namna hii inaashiria wanachi wanaanza kujitambua japo kwa shida sana. Najua CCM watadharau lakini dalili za namna hii hazitakiwi kudharauriwa.
 
Sio Tanganyika
 
Back
Top Bottom