Robert S Gulenga
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,255
- 1,565
Mpaka sasa Waziri mwenye dhamana na Afya za Watanzania amethibitisha kifo cha mtu mmoja na baadhi ya watu kujeruhiwa.
Tunamshukuru Mungu japo kwa uchache huo. Vyovyote itakvyoelezwa Wahusika wawajibike, kwa namna hamasa ilivyokuwa na watu kuingia bure, ilitakiwa mageti ya kuingilia uwanjani yawe wazi toka saa kumi na mbili ili mashabiki wakifika wapitilize moja kwa moja.
Mmekusanya mashabiki ambao wanaingia bure, hakuna namna ingewekana kuwadhibiti mashabiki, kumekuwa na poor planning kwa Wahusika. Mmehatarisha Usalama wa watu wengi kwa mashabiki kuingia bila kukaguliwa baada ya wengine kuvamia geti.
Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Wadau wengine wamewazesha Watanzania kwa nunua tiketi ili mashabiki waweze kwenda kwa wingi, Mamlaka za mpira tumewaungusha kwa kushindwa kuweka mikakati iliyo nyoka.
Karibu sana Kaka yangu mkuu wa mkoa Dar Es Salaam.
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan
Mungu ibariki Tanzania.