Tunashukuru Mungu hawajaumia na kupoteza Maisha watu wengi Uwanja wa Taifa leo kwenye mechi ya Yanga. TFF wawajibike kwa uzembe mkubwa

Heading ya mada yako imenikwaza,one death it's to many mkuu, kuna familia inaamka na kilio leo, and NO ONE ata take responsibility ya kifo hiki na kama kawaida ya watanzania itakua ni cold case
 
Heading ya mada yako imenikwaza,one death it's to many mkuu, kuna familia inaamka na kilio leo, and NO ONE ata take responsibility ya kifo hiki na kama kawaida ya watanzania itakua ni cold case
Nisamehe Mkuu Nkanini , sikumaanisha kuwa kifo cha Mtu mmoja kisichukuliwe kama ni tatizo kubwa, my point ni kuwa janga hili limesababishwa na uzembe wa watu ambao kwa namna moja lazima wawajibike, my view ni kuwa kwa uzembee huu ukijirudia unaweza sababisha maafa makubwa zaidi,
Naamini Serikali itachukulia kwa uzito suala la kifo cha Mtanzania mwenzetu
 
Nami I'm sorry mkuu, nimekuelewa na ninaamini kifo hiki nacho ni cold case kama kawaida yetu,ahsante mkuu
 
Hivi kwann wazir wa afya alitangaza hii badala ya wazir wa michezo?
 
Kibongo bongo ndio imeisha hiyo


Ilianguka ndege ya precision air bukoba Kwa uzembe WA kiwanja na wakafa watu lakini hakuna hatua zilichukuliwa ndio iwe hapo uwanja WA taifa.


Bongo mlinzi WA Kwanza WA maisha yako n wewe mwenyewe. Jilinde. Ukiona umekufa Kwa uzembe wao Jua jalada ndio limefungwa
 
Vya bure lazima tu kutokee jambo na wabongo kwenye vitu vya bure Hawa hawana ustaarabu
 
Hivi kwann wazir wa afya alitangaza hii badala ya wazir wa michezo?
Kwa sababu Jambo hilo linahusu Afya , Waliokuwa wanshughulikia Majeruhi ni Doctors ambao wako chini ya Wizara ya Afya.
Waziri wa Michezo anaweza tolea ufanunuzi wa jumla kuanzia nini kilitokea, wapi kulikuwa na changamoto etc...
 
Tatizo ni Rais kutaka sifa na kuabudiwa.

Hakuna aliyesema hawawezi jilipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…