Tunashukuru uliweka kifo

To yeye

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
35,686
Reaction score
86,968
Pasingekuwepo kifo low classes tungeumia sana, wenye mamlaka ni full kujisahau, wananyang'anya hata kile kidogo apatacho asiyenacho.

Mungu muumba mbingu na nchi hakika haufananishwi na kitu kingine, uliona mbali. Kifo ni haki iliyosawa na isiyoyumba au kubagua, humfikia kilammoja na wakati wake.🙏
 
Mkuu umepatwa na nn?
 
Hivi tukilia maji nanyi ni vivyo hivyo? Umeme ni vivyohivyo? Vitu kupanda bei ovyoovyo nanyi mnaangaikia pesa vivyohivyo?
Eheeeee na sisi tunashida kubwa kubwa hila sio kama za maji na umeme kupanda vitu sio kivile hila kuna wakati tunaona vitu bei ni rahisi si shida yetu kubwa labda nikose tender fulani dili limebuma hapo utakuta nimejifungia nalia
 
Pole mpenzi lakini unauhakika wa kula mchana?
Upo,ratiba nilishapanga since night ivo inaserereka tu.....tatizo vifaa vya wanafunzi vipo ghari sasa,na kesho mwanangu shule...khaa...ndo maana nikaibuka na thread maana wenyewe hawana shida😏
 
Maskini wengi ndio wanawahi kufa zaidi pia
Ni kweli,na matajiri wanachelewa sana kufa ila mwishowe lazima wafe mkuu....afu mi nadili na wenye mamlaka huko juu
 
Japo kifo kinauma sana lakini kinaleta usawa fulani hivi.
Japo kifo kwa upande wa dini ni kama adhabu , lakini I'm sure kwa aina ya maisha na wanadamu tulivyo sasa hivi na ubinafsi huu kama kusingekuwa na kifo maisha yangekuwa mabaya sana

Yote ya yote pole mleta mada , be calm, hakuna wakati mgumu moja kwa moja.
 
Hakuna ugumu wa moja kwa moja ndani ya chama hikihiki mkuu? Au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…