To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Pasingekuwepo kifo low classes tungeumia sana, wenye mamlaka ni full kujisahau, wananyang'anya hata kile kidogo apatacho asiyenacho.
Mungu muumba mbingu na nchi hakika haufananishwi na kitu kingine, uliona mbali. Kifo ni haki iliyosawa na isiyoyumba au kubagua, humfikia kilammoja na wakati wake.š