T the muter JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 1,347 Reaction score 1,828 Dec 2, 2019 #21 Atashinda twaha kiduku. Nakumbuka walipigana mwaka juzi na dulla alichezea sana vitasa. Cha ajabu majaji wakasema ni sare chief command said: Tunaosubiri kwahamu pambano la Twaha kiduku na Dulla mbabe , tukutane hapa. Uzi tayari! Click to expand...
Atashinda twaha kiduku. Nakumbuka walipigana mwaka juzi na dulla alichezea sana vitasa. Cha ajabu majaji wakasema ni sare chief command said: Tunaosubiri kwahamu pambano la Twaha kiduku na Dulla mbabe , tukutane hapa. Uzi tayari! Click to expand...
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,521 Reaction score 2,747 Dec 2, 2019 #22 Mtoto wa nzi said: Wapo uzito gani hawa !!?? Ni uzito sawa na Mwakinyo!!?? Click to expand... Nafikiri wapo kwenye uzito sawa, welterweight kama sijakosea.
Mtoto wa nzi said: Wapo uzito gani hawa !!?? Ni uzito sawa na Mwakinyo!!?? Click to expand... Nafikiri wapo kwenye uzito sawa, welterweight kama sijakosea.
Mtoto wa nzi JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 10,017 Reaction score 18,537 Dec 3, 2019 #23 kibol said: Nafikiri wapo kwenye uzito sawa, welterweight kama sijakosea. Click to expand... Hawajawahi kukutana !!?? Wapambanishwe kubabanye anadharau huyu mwakinyo sio wa kumwambia matumla hajafanya kitu zaidi ya kuvaa misuruali mikubwa Kama tupac ... Labda sababu alikuwa mtoto sana ...
kibol said: Nafikiri wapo kwenye uzito sawa, welterweight kama sijakosea. Click to expand... Hawajawahi kukutana !!?? Wapambanishwe kubabanye anadharau huyu mwakinyo sio wa kumwambia matumla hajafanya kitu zaidi ya kuvaa misuruali mikubwa Kama tupac ... Labda sababu alikuwa mtoto sana ...
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Aug 21, 2021 #24 Team Twaha Kiduku