Tunasubiri kwa hamu pambano la Twaha 'Kiduku' na Dullah 'Mbabe'

Tunasubiri kwa hamu pambano la Twaha 'Kiduku' na Dullah 'Mbabe'

Nafikiri wapo kwenye uzito sawa, welterweight kama sijakosea.
Hawajawahi kukutana !!?? Wapambanishwe kubabanye anadharau huyu mwakinyo sio wa kumwambia matumla hajafanya kitu zaidi ya kuvaa misuruali mikubwa Kama tupac ... Labda sababu alikuwa mtoto sana ...
 
Back
Top Bottom