Atashinda twaha kiduku. Nakumbuka walipigana mwaka juzi na dulla alichezea sana vitasa. Cha ajabu majaji wakasema ni sare
Tunaosubiri kwahamu pambano la Twaha kiduku na Dulla mbabe , tukutane hapa.
Uzi tayari!