Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Benjamin Netanyahu amezidi kukasirishwa na usugu wa kimapigano wa Houth ambao hawana hofu kabisa kulenga shabaha maeneo nyeti ya Israel.
Bila shaka masaa machache yajayo dunia inaweza ikashuhudia hali ya mabadiliko makubwa yaliyotokana na vita vya Gaza na ukaidi wa Netanyahu aliyekaidi ushauri wa kusitisha vita kutoka kwa wananchi wake na viongozi mbali mbali wa dunia.
Houth kwa kujiamini kwao kupambana na taifa linalosifiwa ni kubwa kiulinzi bila shaka wamejiandaa zaidi kupokea kipigo na wao kujibu kwa nguvu zaidi.
Kuna uwezekano pia Houth wameshajipanga na wenzao kusaidian katika kujibu mapigo ya Israel.Kilichobaki ni kujua tu wapi makombora ya Israel yatapitia na nani watakaosaidia kuruhusu mashambulizi hayo ya Israel.
Inaaminika Houth wameshahodhi makombora aina waliyotumia leo kadhaa kwenye hazina zao chini ya milima.