Tunasubiri tuone F35 zinazokwenda kulipiza kisasi Yemen zitapita wapi kesho

Tunasubiri tuone F35 zinazokwenda kulipiza kisasi Yemen zitapita wapi kesho

Ima
Ilikuwa ni ajali ya kawaida.Ingekuwa Israel ilihusika wangekuwa wameshajisifu ili kuendeleza vitisho.
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?
 
Vifo vyao havikuhusiana na Israel.
Israel ilikana hili mbona mnalazimisha ilihusika?
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?

Zile ni operation za kijasusi huwezi Kuta zinatangazwa hadharani.
 
Ima
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?
Ziliongeleka indirect speech za kuhusika.
Ila suala la kufariki Ebrahim Rais Netanyahu alikana kwa kinywa chake.
Je umewahi kuona Israel akikana hovyo kufanya kitu??
 
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?

Zile ni operation za kijasusi huwezi Kuta zinatangazwa hadharani.
Israel hakutangaza na hakukataa shutuma za kumuua Haniyeh.
Ndio maana hata Iran ilipotangaza kulipa kisasi Israel ilijiandaa bimaana ilijua ilichofanya.

Ila suala la Ebrahim Raisi Netanyahu alikataa Israel kuhusika tena mapema sana alikataa kuwa Israel haihusiki.
 
Benjamin Netanyahu amezidi kukasirishwa na usugu wa kimapigano wa Houth ambao hawana hofu kabisa kulenga shabaha maeneo nyeti ya Israel.
Bila shaka masaa machache yajayo dunia inaweza ikashuhudia hali ya mabadiliko makubwa yaliyotokana na vita vya Gaza na ukaidi wa Netanyahu aliyekaidi ushauri wa kusitisha vita kutoka kwa wananchi wake na viongozi mbali mbali wa dunia.

Houth kwa kujiamini kwao kupambana na taifa linalosifiwa ni kubwa kiulinzi bila shaka wamejiandaa zaidi kupokea kipigo na wao kujibu kwa nguvu zaidi.

Kuna uwezekano pia Houth wameshajipanga na wenzao kusaidian katika kujibu mapigo ya Israel.Kilichobaki ni kujua tu wapi makombora ya Israel yatapitia na nani watakaosaidia kuruhusu mashambulizi hayo ya Israel.

Inaaminika Houth wameshahodhi makombora aina waliyotumia leo kadhaa kwenye hazina zao chini ya milima.
Uposema Netanyahu amekaidi kusitisha vita una maana gani? Nani amekuambia Hamas hawataki vita waliyoianzisha wenyewe tarehe 7/10? Hamas walitaka vita na vita ndo hiyo inaendelea tuwache wapigane wasichoke watashinda Allah wao atawasaidia.
 
Taifa la Mungu lilifikir waajemi akili kisoda waanzishe vita mwisho wa siku Iran iangamizwe na Us, Uk na France mwisho wa siku wameuchuna wanapigana na Israel kwa Proxy war...patamu sana😆
Iran anapigana na israel kwa akili hiyo ni salam kwa Netanyahu
 
Israel awajausika na ajali ndege ya kiongoz w Iran awajamaa wakiusika ukaa kimya lkn awakani kwamba awajausika. Lkn inanishangaza awa wanaamini ile ndege imeujumiwa yawezekana awakuwa wanafatilia ile siku ndege inatafutwa mana ilikuwa live media nyingi tu siamin kama angeona na bado angesema mosad ajali za ndege %90 zote iwe chopa au nyengine ni vitu viwili ukungu na milima na ndio tulichokiona ukungu ulikuwa mwingi kiasi wale jamaa waliokuwa wanaitafuta ndege walikuwa wakisema kumuona mwenzio akiwa mita5 uwezi. Aya ndege yenyewe imekutwa mlimani kias kutembea kuifikia ilikuwa shida sana. Tungeamin ni mosad kama ivyo vitu viwili visingekuwepo imeanguka tu seem ya wazi kweupe.
 
Man inaonekana lugha kwako ni mtihani sana soma vizur hiyo habar hakuna sehemu PM kataja Haniyeh ameuliwa na IDF hadharani hapo amemzungumzia Deif na Hassan Nasrailla's right hand man.
Wewe si kwamba unajipaisha kwa lugha tu bali ni mjinga sana wa kusoma habari.
Siku alipotoa tamko hilo Netanyahu ni baada ya kifo cha Ismail Haniye na Shukr wa Hizbullah.
wewe ni hao wanaomaliza darasa la saba wanaofanya mitihani ya kuweka alama ya kweli au hapana.Ingekuwa unajaza mapengo pia ungeelewa kidogo.
 
Mlisema hivyo hivyo kwa hamas kuwa wanejiandaa barabara sasa hivi mnalia
Kikundi kidogo ambacho hakina ndege ya vita wala kifaru hata kimoja kubaki kikirusha risasi na makombora madogo madogo kwa mwaka mzima ndio utasema hawakujiandaa.
Jiulize ni kwanini Israel inapigana huku imezuia chakula na maji.Na inauwa watoto na akinamama.Nini kimewashinda kwenye vita.
 
Rais na Wazir wa mambo nje wa Iran wakat nchi yao inaishambulia Israel wako wapi sasa hivi?
Jaman watu wasipate ajali ..watu wasife
Kisa tuh Vita bhc hata mtu akifa na maleria mtasema mosad wamepandikiza mmbu
 
Wewe si kwamba unajipaisha kwa lugha tu bali ni mjinga sana wa kusoma habari.
Siku alipotoa tamko hilo Netanyahu ni baada ya kifo cha Ismail Haniye na Shukr wa Hizbullah.
wewe ni hao wanaomaliza darasa la saba wanaofanya mitihani ya kuweka alama ya kweli au hapana.Ingekuwa unajaza mapengo pia ungeelewa kidogo.
Kila mtu ni mjinga kwa namna yake na ni kweli Israel imehusika na kifo Cha Haniyeh ila hakuna sehemu wametamka waiwazi kwamba ndio waliomuua na katika hiyo habar uliyoileta ni wapi Netanyau amesema waiwazi kwamba Israel imehusika na kifo Cha Haniyeh?
 
Kuna watu huwa wanajulikana kuwa ni mashoga kwa mwendo wao na misemo yao pekee.Wala huwa hatuna haja ya kusikia matamko yao.
Sasa Netanyahu keshatoa maelezo karibu asilimia 100 kwamba wamehusika wewe unasubiri asema ni mimi au ni sisi.Ni ushoga wa fikra huo.
 
Back
Top Bottom