Tunasubiri tuone F35 zinazokwenda kulipiza kisasi Yemen zitapita wapi kesho

Kiboko

Kiboko ya ICBM ni david's sling poleni wa houthi wa kimbangulile.
Ndivyo unavyojidanganya kijana??
ICBM asilimia kubwa ni impossible kuzidungua kulingana na uwezo wake wa kasi kubwa na hasa ikiwa ni high precision guided missile,huwa ina uwezo wa kuikwepa intercepter.
Na hayo makombora Iran anayo.
 
Katengenezewa na Mungu? Humu kuna watu ni mashabiki maandazi sana
 
Duuh umejibu ka vile hiyo vita inakuhusu yani.wabongo mpo jasiri sana.
 
Kile kipigo cha siku ile pale bandarini ndio wameibuka leo?

Subiri sasa israel iwawahishe kwa Allah kujilia mabikra
Majamaa wehu sana aisee yaani yanatafuta ugombi kwa nguvu zote mwishowe wanaishi kurusha vikombora vinaishia maporini Kisha wao wanalipa gharama kubwa kuliko .
 
Majamaa wehu sana aisee yaani yanatafuta ugombi kwa nguvu zote mwishowe wanaishi kurusha vikombora vinaishia maporini Kisha wao wanalipa gharama kubwa kuliko .
ukipigan na mtu ambaye ni sugu yaani hajali maumivu basi jitayarishe na aibu.
 
Leo Wayemeni wametangaza kudondosha MQ 9 drone ya Wamarekani.
. Hizo habari kuzipata main stream media ni mwiko.
 
Safari hii ameufyata kwanza.
Hapo zamani alipowadharau Houth ilikuwa ni jino kwa jino.
Ameufyata vipi PM keshasema "They will pay a heavy price" tusubiri tuone maana Netanyau Huwa hatoi matamko bila kuambatana na vitendo.
 
Hukumbuki ilivyotokea baada ya Iran kuzirusha icbm mpata Tel Aviv kwa mara ya mwanzo ?
Rais na Wazir wa mambo nje wa Iran wakat nchi yao inaishambulia Israel wako wapi sasa hivi?
 
Rais na Wazir wa mambo nje wa Iran wakat nchi yao inaishambulia Israel wako wapi sasa hivi?
Ilikuwa ni ajali ya kawaida.Ingekuwa Israel ilihusika wangekuwa wameshajisifu ili kuendeleza vitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…