Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?Ilikuwa ni ajali ya kawaida.Ingekuwa Israel ilihusika wangekuwa wameshajisifu ili kuendeleza vitisho.
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?Vifo vyao havikuhusiana na Israel.
Israel ilikana hili mbona mnalazimisha ilihusika?
Ziliongeleka indirect speech za kuhusika.Ima
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?
Israel hakutangaza na hakukataa shutuma za kumuua Haniyeh.Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?
Zile ni operation za kijasusi huwezi Kuta zinatangazwa hadharani.
Uposema Netanyahu amekaidi kusitisha vita una maana gani? Nani amekuambia Hamas hawataki vita waliyoianzisha wenyewe tarehe 7/10? Hamas walitaka vita na vita ndo hiyo inaendelea tuwache wapigane wasichoke watashinda Allah wao atawasaidia.Benjamin Netanyahu amezidi kukasirishwa na usugu wa kimapigano wa Houth ambao hawana hofu kabisa kulenga shabaha maeneo nyeti ya Israel.
Bila shaka masaa machache yajayo dunia inaweza ikashuhudia hali ya mabadiliko makubwa yaliyotokana na vita vya Gaza na ukaidi wa Netanyahu aliyekaidi ushauri wa kusitisha vita kutoka kwa wananchi wake na viongozi mbali mbali wa dunia.
Houth kwa kujiamini kwao kupambana na taifa linalosifiwa ni kubwa kiulinzi bila shaka wamejiandaa zaidi kupokea kipigo na wao kujibu kwa nguvu zaidi.
Kuna uwezekano pia Houth wameshajipanga na wenzao kusaidian katika kujibu mapigo ya Israel.Kilichobaki ni kujua tu wapi makombora ya Israel yatapitia na nani watakaosaidia kuruhusu mashambulizi hayo ya Israel.
Inaaminika Houth wameshahodhi makombora aina waliyotumia leo kadhaa kwenye hazina zao chini ya milima.
Iran anapigana na israel kwa akili hiyo ni salam kwa NetanyahuTaifa la Mungu lilifikir waajemi akili kisoda waanzishe vita mwisho wa siku Iran iangamizwe na Us, Uk na France mwisho wa siku wameuchuna wanapigana na Israel kwa Proxy war...patamu sana😆
Hapa Netanyahu akitamba baada ya kifo cha Ismael HaniyeIma
Ismail Haniyeh aliyeuwawa ndani ya jengo lililokuwa linalindwa na makomandoo wa IRGC ulisikia Israel ikitangaza kuhusika?
Man inaonekana lugha kwako ni mtihani sana soma vizur hiyo habar hakuna sehemu PM kataja Haniyeh ameuliwa na IDF hadharani hapo amemzungumzia Deif na Hassan Nasrailla's right hand man.Hapa Netanyahu akitamba baada ya kifo cha Ismael Haniye
Netanyahu says Israel 'delivered crushing blows' to its enemies
Mlisema hivyo hivyo kwa hamas kuwa wanejiandaa barabara sasa hivi mnaliaWameshajiandaa vizuri
Hii aione Webabu na ndio maana halisi ya ujasusi wewe unafanya yako unatulia zako kimya unawaachia watu waongee.Israel hakutangaza na hakukataa shutuma za kumuua Haniyeh.
Uko nao huko?Wameshajiandaa vizuri
Yemeni sio Gaza.Tujiandae #pray to yemen
Wewe si kwamba unajipaisha kwa lugha tu bali ni mjinga sana wa kusoma habari.Man inaonekana lugha kwako ni mtihani sana soma vizur hiyo habar hakuna sehemu PM kataja Haniyeh ameuliwa na IDF hadharani hapo amemzungumzia Deif na Hassan Nasrailla's right hand man.
Kikundi kidogo ambacho hakina ndege ya vita wala kifaru hata kimoja kubaki kikirusha risasi na makombora madogo madogo kwa mwaka mzima ndio utasema hawakujiandaa.Mlisema hivyo hivyo kwa hamas kuwa wanejiandaa barabara sasa hivi mnalia
Jaman watu wasipate ajali ..watu wasifeRais na Wazir wa mambo nje wa Iran wakat nchi yao inaishambulia Israel wako wapi sasa hivi?
Kila mtu ni mjinga kwa namna yake na ni kweli Israel imehusika na kifo Cha Haniyeh ila hakuna sehemu wametamka waiwazi kwamba ndio waliomuua na katika hiyo habar uliyoileta ni wapi Netanyau amesema waiwazi kwamba Israel imehusika na kifo Cha Haniyeh?Wewe si kwamba unajipaisha kwa lugha tu bali ni mjinga sana wa kusoma habari.
Siku alipotoa tamko hilo Netanyahu ni baada ya kifo cha Ismail Haniye na Shukr wa Hizbullah.
wewe ni hao wanaomaliza darasa la saba wanaofanya mitihani ya kuweka alama ya kweli au hapana.Ingekuwa unajaza mapengo pia ungeelewa kidogo.
Kuna watu huwa wanajulikana kuwa ni mashoga kwa mwendo wao na misemo yao pekee.Wala huwa hatuna haja ya kusikia matamko yao.Kila mtu ni mjinga kwa namna yake na ni kweli Israel imehusika na kifo Cha Haniyeh ila hakuna sehemu wametamka waiwazi kwamba ndio waliomuua na katika hiyo habar uliyoileta ni wapi Netanyau amesema waiwazi kwamba Israel imehusika na kifo Cha Haniyeh?