Tunasubiri viongozi wa CHADEMA kuanza kushikwa! wekeni kamera tuwaone hao watekaji

Tunasubiri viongozi wa CHADEMA kuanza kushikwa! wekeni kamera tuwaone hao watekaji

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano.

Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo.

Huu ni ushauri tu
 
Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano. Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo. Huu ni ushauri tu
Kweli
 
Utaniutani tu Tanzania ya amani inaenda kuharibika
 
Back
Top Bottom