kyenshaja
Member
- Aug 9, 2020
- 26
- 10
Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata elimu, ajira na kipato kuelekea hatua ya Viwanda.
Miradi ipo katika mkoa Kagera, na ipo katika hatua ya mwanzo kwamba imekamilika kuanza,hivyo tunahitaji wabia kushirikiana kupata mitaji na uendeshaji bora kuinua kipato. Miradi tajwa ina fursa pana ya uwekezaji katika mkoa Kagera na imeandaliwa kwa misingi ya kuanzia kuinua kipato katika ngazi ya Kaya kupunguza umaskini katika jamii.Tafadhali mweleze mwenzio taarifa hii ni ya haraka sana.
Kwa maelezo zaidi wasiliana:
Mwenyekiti mtendaji
Kagera Edible Oil Mills
P.O.BOX 97,BUKOBA
+255763031988/0784891188/0623225404. email kageraedibleoil@gmail.com