kwanza sheria ya kulinda maslah na mamlaka makubwa ya kiongozi yapunguzwe,na wao walipe kodi zaidi kuliko sisi wa hali ya chini.Wanafanya haya kwakuwa wao hawalipi kodi.Wanasahau kuna maskini wenzetu wanatumia buku kutwa.Viongozi kuanzia wabunge kwenda juu muogopeni mungu mtakufa na laana za kuwanyonya masikini.
Kamati hiyo ya Bajeti inaundwa na wabunge wafuatao ili watanzania tuwafahamu kwa majina yao na majimbo yao wanayotoka kuliko kuendelea kumlaumu Rais ambaye hahusiki na jambo lolote.
1. Mhe. Sillo Daniel Baran- Mwenyekiti wa Kamati
2. Mhe. Omari Mohamed Kigua- Makamu Mwenyekiti
3. Mhe. Ali Hassan Omar King
4. Mhe. Oran Manase Njenza
5. Mhe. Josephat Sinkamba Kandege
6. Mhe. Leah Jeremiah Komanya
7. Mhe. Issa Jumanne Mtevu
8. Mhe. Joseph George Kakunda
9. Mhe. Shally Josepha Raymond
10. Mhe. Subira Hamis Mgalu
11. Mhe. Ester Nicolaus Matiko
12. Mhe. Jonas William Mbunda
13. Mhe. Mariam Madalu Nyoka
14. Mhe. Juma Hamad Omar
15. Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo
16. Mhe. Tarimba Gulam Abbas
17. Mhe. Amina Iddi Mabrouk
18. Mhe. Riziki Said Lulida
19. Mhe. Halima James Mdee
20. Mhe. Zaytun Seif Swai
21. Mhe. Dk. Charles Kimei
22. Mhe. Shamsi Vuai Nahodha
23. Mhe. Mariam Nassor Kisangi