Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

Mgogo gani anafanana na wapemba zaidi ya wagogo wenzake au mrangi?
Ni wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi. Anaweza asiwe mtanganyika ila kama baba yake ni mtanganyika siyo tatizo. Mzazi mmoja akiwa mtanganyika au mzanzibara ni sawa, na awe amezaliwa TZ, asiwe na uraia wa nchi nyingine.......
 
Mgogo gani anafanana na wapemba zaidi ya wagogo wenzake au mrangi?
Hayo ni mawazo ya kijinga, mnabisha msichokijua, hayo mambo ya conspiracy theory hayana maana, acheni kusingizia na kuongea vitu msivyovijua. Mawazo mabovu, kama mama yake ni mrangi? Mnadharau wagogo, kwani lazima wagogo wote wafanane? Acheni mambo ya kudharau watu wengine, ongeeni pointi za maana.
 
Heri angalau angefanana na huyo mamake aliyempenyeza mabaki ya watumwa huko visiwani ambaye asili yake ni ntwara kuliko mpembaa. Wallahi mie ntu afananaye na mpembaa kujiita ntanganyika nshangaa sana yakhe.
 
Hiyo sehemu uitaje na age mate wenzenu muwataje
 
Heri mawazo ya kijinga kuliko hisia na hukumu ya kipumbavu kama hii hapa.
 
Unatuumiza macho na limuandiko lako sisi wa Tanganyika
 
Wewe unaye sema unamfahamu tangu mdogo ndiye unaye hoji kama mama yake ni mrangi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…