peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Ni kweli na baba yake aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Dodoma!Ni jina lake halisi, namfahamu tangu akiwa primary school. Acheni uongo. Amezaliwa na kukulia Dodoma.
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
Hivi mkuu wazenji hauwajui kabisa? Jamaa kimuonekano ni MPEMBA 100%.Kumbe ni mzenj tunachezwa?
Weka historia yake kuanzia kuzaliwa mama na baba yake tujue ili tusifanyiwe matezo kama tusemavyo pwani.
Anaitwa Deogratius John Ndejembi na ni Mkristo kutoka Dhehebu kubwa na lenye Watu wenye Akili sana la Katoliki.Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
JB yule muigizajiHakuna mtanganyika anayefanania na huyu bwana😔
AiseeDuru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
ChaiAnaitwa Deogratius John Ndejembi na ni Mkristo kutoka Dhehebu kubwa na lenye Watu wenye Akili sana la Katoliki.
Kichwa tu kinaonesha ni mzenjbaei
Sio kweli. Halafu sijui nani kaja na hii propaganda. Mtu kakulia Dodoma tunamjuaDuuh,
Kumbe ni Mzanzibar??
Ni jina lake halisi, namfahamu tangu akiwa primary school. Acheni uongo. Amezaliwa na kukulia Dodoma.
Kwani Mpemba hawezi kukulia Dodoma?Sio kweli. Halafu sijui nani kaja na hii propaganda. Mtu kakulia Dodoma tunamjua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti huyu mgogo aisee
Acha kugeneralize watanganyika. Ni wajinga wachache tu na propaganda zao.Ni wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.
Hivi ni Samiah au chama cha mapinduzi ndio kimempendekeza? Na Rais ndio atapeleka jina bungeni.Mwacheni comrade wa nyumbani Dodoma anatuwakilisha vizuri!!
Samiah anajua kuteua aiseh!!
Kazi na utu,tunasongambele!!
Bado Kuna mambo ya kurekebisha!
Mwinyi ni Mtanganyika kabisa sikatai. Ila Deo sio Mzanzibari, trust me bro.Kwani Mpemba hawezi kukulia Dodoma?
Mbona Ali Hassan Mwinyi (Rip) alikulia Mkuranga?
Tupo barDuru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma