Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Tunataka kujua ng'ombe waliogongwa na shilole ni wangapi na wanaendeleaje maana mali ni bora kuliko taarifa za mtu.
hakikaNaunga mkono hoja
Mwenye ng’ombe atafutwe ashauriwe kupeleka madai ya fidia kwa Shilole. Auto insurance carrier wa Shilole lazima aziteme shekeli.Tunataka kujua ng'ombe waliogongwa na shilole ni wangapi na wanaendeleaje maana mali ni bora kuliko taarifa za mtu.
Soma Sheria vizuri inasemaje ndo uchangie.Mwenye ng’ombe atafutwe ashauriwe kupeleka madai ya fidia kwa Shilole. Auto insurance carrier wa Shilole lazima aziteme shekeli.
Inasemaje kwani?Soma Sheria vizuri inasemaje ndo uchangie.