Tunataka kujua ng'ombe waliogongwa na shilole ni wangapi na wanaendeleaje

Tunataka kujua ng'ombe waliogongwa na shilole ni wangapi na wanaendeleaje maana mali ni bora kuliko taarifa za mtu.
Mwenye ng’ombe atafutwe ashauriwe kupeleka madai ya fidia kwa Shilole. Auto insurance carrier wa Shilole lazima aziteme shekeli.
 
Nchi imefika pabaya sana hii, rais ajaye 2030 atakuwa na kazi ya ziada kuliponya na kuunganisha taifa hili lililomeguka vipande vipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…